Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha - Wael El-Manzalawy
Автор: | Wael El-Manzalawy |
Издательство: | Tektime S.r.l.s. |
Серия: | |
Жанр произведения: | Личностный рост |
Год издания: | 0 |
isbn: | 9788835426684 |
”Kushindwa kunaweza kukuangamiza ikiwa wewe ni mdhaifu, lakini ikiwa wewe una nguvu, unaweza kushinda kutofaulu.”-Wael El-Manzalawy Nukuu moja inaweza kujumlisha kimustasari wazo la sura nzima. Kitabu hiki kina nukuu kadri ya 150 zilizoandikwa na wasomi wengi wa kimataifa.